BANKING SYSTEM OF INTERNET YOU CAN CHANGE ANY AMOUNT OF MONEY YOU WANT.(Banki za mitandaoni zinaweza kutumika kubadili aina yoyote ya fedha uitakayo )

Nivigumu sana kuzuia biashara za kubadili fedha kwa ujmla, ulinzi hautasaidia kitu kwa kua zipo njia nyingi zaidi za kubadili fedha kutoa value ya nchi moja hadi nyingine.

Njia hizo ambazo zinaweza kutumiwa hata kama una billions of dollers or Shillings unaweza badili kwa usalama zaidi.
(1) Online systems.
      (a) Crypto currency
       (b) Online Banking

Njia zote hizo ni salama kwa asilimia 99.9 %
Kwakua (a) Ni njia ambayo ni salama lakini inabidi ucheze na forex ya world economy kwa kupanda kwake na kushuka,

Ukiweza kua makini hapo baasi crypto curency itakua rahisi sana kwako kwa kua inafaida mara dufu, Faida mara dufu inatokea wapi ?

Mtu anaweza kujiuliza hilo swali !
Faida yake ni kua yenyewe kama ni biashara ndani ya biashara licha ya kua ni (E - forex market ). 

=> Faida nyingine mtu yoyote awe mwanamke au mwanaume, mfanyabiashara au mkulima  anaweza kubadili kiwango chochote cha fedha bila kua traceble (Kufahamika ).

(b)Njia ya bank inatumika kwa kubadili fedha pale ambapo unafedha zako tayari kwenye account pasipo kuzitoa una badili kwenda fedha nyingine ya kigeni kwa kutafua faida ya ongezeko ya pesa hiyo, au Kununua bidhaa kutoka nje ya nchi.

Comments

Popular Posts