UNAFAHAMU NAMNA YA KU9NGEZA SPEED SIMU YAKO. JIFUNZE LEO HATUA KWA HATUA
Kuweza kuongeza kazi ya simu yako kutakufanya uweze kuwa huru na kuhisi kifaa ulicho nacho ni bora zaidi, Sababu zinazopelekea kuongeza kasi ya simu yako ni baada ya kuona simu yako inazidi kupungua kasi, sasa basi fanya yafuatayo. 1. Hakikisha una turn on "Developer Mode" kwenye simu yako. DEVELOPER MODE. -Nenda kwenye "Setting" ya simu yako - Ingia "About Phone" - "Scrow down" kwenye bulder number - Ukishaona "Builder Number" - Press mara saba utaona counting remains kwenye simu yako, counting zitakapo isha itakwambia Developer Mode turned on. 2. Back, ingia kwenye developer mode. Angalia kitu kinachoitwa *Annimation scale* Chang...


