TECHNOLOGY INAZIDI KUKUA NINI HASA KIFANYIKE.

 kulingana na kukua na kuongezeka kwa matumizi ya Internet yanachangia kwa kiasi kikubwa kwa kurahisisha kazi kama miundo mbinu ya ofisi zetu, viwanda na hospitali tutatumia kulingana na kubadilika kwa miundo mbinu.
  Naiomba serikali ijaribu kupitia kila aina ya taasisi na kujaribu kuweka miundo mbinu ambayo ni rafiki pasipo kusahau walemavu.


Ningependa kushauru matumizi ya software kwa wingi kuliko soft copy, tumekua tukishuhudia upoteaji wa nyaraka na kuibiwa na kuchomwa moto kwa maeneo muhimu na kubaki historia.
#fahamutech #fahamushow #fahamumedia

Comments

Popular Posts