KWA UHALISIA WA MECHI YA LEO, TANZANIA LAZIMA TUTASHINDA DHIDI YA UGANDA
Tanzania, ina point 5, Uganda ikiongoza kundi kwa point 13, Tanzania inahitaji ushindi wa aina yoyote lakini sio kufungwa au dro, kwasababu ya kua nafasi ya 3.
Kama unamacho utajua chini ya kapeti kitakacho endelea, sitaki kusema mengi lakini siku zote wazee wetu walisema,
"Jirani yako kwenye matatizo ndio kwanza anapaswa kukusaidia "
Mimi nitaungana na nimeshaungana tayari tazania kupita kuelekea mzunguko wa robo fainali ya michuano ya CAF barani Africa.
Hongera tanzania kwa ushindi huo

Comments