HOW TO SIMPLY SOLVE BYPASS PROBLEM ON ANY ANDROID DEVICE.
#fahamu
Unajua namna ya Reactivate your account ? (Bypass) your gmail account on new setting e-mail after reinstall an old email of real owner to another buyer who going to insert a new e-mail.
USIUMIZE KICHWA WALA KUPOTEZA HELA YAKO KWA
MAFUNDI WASIO WAAMINIFU.
FUATA NJIA HIZI.
- Subscribe our channel on youtube as (@fahamuTech)
-Usisahau kubonyeza alama ya kengele kua karibu nasi zaidi kwa kila post tutakayo post.
Ku re activate account yako ya android phone ikiwa umenunua kutoka kwa mtu yaani (Second Hand) , uka hard reset, wakati unaenda kuingiza e-mail yako kwa mara ya kwanza simu ikakuomba kuingiza account ya kwanza ya mtumiaji wa simu yako hiyo ?
Ili uweze kuendelea kuifungua simu yako hiyo na kuendelea kuitumia. Kwa kuingiza e-mail nyingine ambayo ni yako.
STEPS:
1. Downland Quick Shortcut Maker apk
2.Itume kwenye simu inayohitaji huduma.
Unatumaje( Hapa ndipo kwenye kazi, hapa ndipo ambapo panakupa solution moja kwa moja kwenye simu yako.
"Unachotakiwa kufanya ni:-
_Sehemu ya ku type e-mail, type maneno yeyote fanya kama una ya select kwa kuya bonyenza ili kukultea highlight ink na option ya (Select all |Cut | Paste. | : ). hapo kwenye dot 2 zinatakiwa ziwe tatu.
Select kwenye vidot vitatu then select share.
Share via Xender.
after select sender tuma app yako hapo juu install kisha open.
Choose (Android Device Manager )
ambayo itakupa option ya kuingiza password.
Ukisha ipata sehemu hiyo. Angalia juu kabisa kulia kwa mkono wako utaona alama ya dot 3. Select utapewa option ya ku sigin.
Uki click moja kwa moja utapelekwa online kwenye sigin in page ya google.
3. Sigin in kama kawaida ingiza na password. Utakapo taka kuingia sasa kwenye google account itarudi kwenye app ya quick shortcut maker.
Back hadi mwanzo kabisa, ukisha fika mwanzi unapo select language. Restart your phone.
Baada ya kuwaka nenda kama kawaida kwa kufuata hatua za kusigin in kwenye sim ya android mpya.
Booom, utaona moja kwa moja inakwambia you already entered a new e-mail account. Na hapo ndipo moja kwa moja itakupeleja au kufunguka kwa sim yako
MAWASILIANO
Ukishindwa samahani usisite kuwasiliana nasi kwa comment chini ya post hii.
NAJITAHIDI NIKULETEE VIDEO ILI IWE RAHI KWAKO PIA,
GHARAMA.
Bure.

Comments