NAPENDA KUWAKALIBISHA WATANZANIA WENZANGU KATIKA CHANNEL YANGU YA YOUTUBE IITWAYO SHADOTUBE.
Kutokana na changamoto nyingi za maisha nineona sio vyema kukaa kimya bila kuwaletea jambo hili, na jambo lenyewe si jingine bali ni channel ya kitanzania ambayo inawaletea mambo mabimbali ambayo ni positive katika jamii yetu ya kitanzania ma afrika mwa ujumla.
Natambua mchango wa watanzania walio wengi kwa kuenxelea kuniapa support yenu ndani ya youtube.com/shadotubetz

Comments