UNAJUA KWAMBA KUPITIA NJIA YA KAWAIDA UNAWEZA KUDEPOSIT PESA ZAKO KATIKA BROCKER WA " HOTFOREX"
Kupitia njia ya Bitcoins unaweza kupost pesa yaki ambayo unaenda kuitumia kama investment ya trade yako ndani ya metatrade 4 kwa makato madogo sana, Ukilinganisha na kupost pesa yako kupitia local depositor Tanzania.
Ndio unaweza kabisa kupandisha pesta yako ndani ya metatrade 4 kupitia Hot Forex Kwa urahisi zaidi, Ukitumia njia ya local deposit Tanzania ni mzia nzuri lakini inamakato makubwa sana na ukiangalia tuko kwenye ulimwengu wa twchnogy, hali ambayo inatakiwa itusaidie sisi kama vijana wa kitanzani kufanikisha yale yote ambayo tunaona kwamba ndio njia bora na sahihi kwetu.
Tukutane katika channel yangu nikuelekeze hatua kwa hatua.

Comments