UNAFAHAMU NAMNA YA KU9NGEZA SPEED SIMU YAKO. JIFUNZE LEO HATUA KWA HATUA

Kuweza kuongeza kazi ya simu yako kutakufanya uweze kuwa huru na kuhisi kifaa ulicho nacho ni bora zaidi, Sababu zinazopelekea kuongeza kasi ya simu yako ni baada ya kuona simu yako inazidi kupungua kasi, sasa basi fanya yafuatayo.

1. Hakikisha una turn on "Developer Mode" kwenye simu yako.
            DEVELOPER MODE.
         -Nenda kwenye "Setting" ya simu yako
         - Ingia "About Phone" 
         - "Scrow down" kwenye bulder number
          - Ukishaona "Builder Number" 
          - Press mara saba utaona counting remains kwenye  
            simu yako, counting zitakapo isha itakwambia
             Developer Mode turned on.

2. Back, ingia kwenye developer mode.
    Angalia kitu kinachoitwa 
    *Annimation scale* Change zone kutoka kwenye scale annotation yake na kua "None" kwenye option zote zenye animation utakazo ziona.

3. Asante na utakua umefanikisha. Utaona sasa kasi 

Comments

Popular Posts