BTC drop down in the end of this year.
It seem like the value of BTC is decreases while the generation of new coin increasing including BTC .
Yes napenda kuto shukrani za zati kwa wote wanaoendelea kutembelea channel yetu ya youtube na socil media zingine za fahamuTech.
Kwa siku ya leo napenda kuzungumzia kupungua kwa bei ya BTC ndani ya soko la kitanzania nadhani sasa wanunuzi wengi ndani ya localbitcoins.com na remitano wanazidi kuongezeka na wasiwasi kwa kuwa walinunua kipindi kibaya cha bitcoin.
Awali mnamo mwezi wa 5 mwaka huu thamani ya bitcoin moja (1) Ilikua ni Tsh 16000000+
Ila kwa sasa bitcoin moja (1) Inanunuliwa kwa Tsh 8000000+
Kwa anae nunua kwa kipindi hiki atapata faida sana endapo itapanda kurudi ilipokua miezi iliyo pita.
Na atakaeuza kwa sasa kama alinunua miezi iliyopita lazima atapata hasara.
Sasa basi toa maobi yako juu ya Crypto currency kwa sasa.

Comments