HONGERA SANA MADAM HAMISA MOBETO.

Hongera sana ziende kwake hamisa mobeto kwa kuachia wimbo wake wa kwanza. Tunaamini huo ni mwanzo mzuri kwako na kwa mashabiki zako kwa ujuma. Ningependa jina la usanii utumi Miss Lyon.

Comments

Popular Posts