Pole sana Ommy dimpozi, mungu yu pamoja nawe !

Pole sana, 
Zikufikie ommy dimpoz kwa kupatwa na matatizo, hatuna budi kumshukuru mungu na kusema asante kwa kuendelea kua hai.

Huo ni mtihani ya mungu, tunamuomba mungu akusaidie. Kwa kusema hivo naweza sema msanii ommy dimpozi ameweza kupata tatizo katika mfumo wa koo lake na kufanya upasuaji wa koo lake, huku akidai kua mfumo wake wa koo umebadilishwa njia, Maneno hayo aliongea pale alipohojiwa na Mwandishi @Millardayo katika channel ya youtube ya youtube.com/millardayo

Denis Leonard

Comments

Popular Posts